Real skincare for real people
Huduma halisi ya ngozi kwa watu wa kawaida
✅4.8/5 (50+) ⭐⭐⭐⭐⭐Verified Reviews
Huduma halisi ya ngozi kwa watu wa kawaida
Pure African shea butter that heals, protects, and nourishes at a price every home can afford.
Shea butter halisi ya Afrika inayolisha, kulinda na kutibu ngozi — kwa bei nafuu kwa kila familia.
Nyota Zuri Organics brings you natural skincare made from unrefined shea butter sourced from women’s cooperatives in West Africa.
Tunakuleta bidhaa asilia kutoka kwa wanawake wa Afrika Magharibi — salama, safi, na ya kuaminika.
THE PROBLEM
TATIZO
In many homes, skincare means petroleum jelly.
It is cheap, but it does not heal the skin.
It only sits on the skin and blocks it.
Kwa familia nyingi, skincare ni kutumia mafuta ya petroleum (Vaseline).
Ni nafuu, lakini haitibu ngozi.
Inakaa juu ya ngozi bila kusaidia kwa ndani.
THE SOLUTION
SULUHISHO
Nyota Zuri offers a natural solution
Nyota Zuri inaleta suluhisho la asili
Pure shea butter that has been used for generations to:
Deeply moisturise dry skin
Hulainisha ngozi kavu kwa kina
Soothe irritation and eczema
Hupunguza muwasho na eczema
Protect and restore skin
Hulinda na kurejesha afya ya ngozi
Safe for babies and children
Salama kwa watoto na watoto wachanga
CHOOSE WHAT FITS YOUR POCKET
CHAGUA UKUBWA UNAOFAA MFUKO WAKO
Perfect for trying
Nzuri kwa kuanza na kujaribu
For daily use
Kwa matumizi ya kila siku
Best value for the whole home
Inafaa familia nzima kwa muda mrefu
OUR VARIANTS
AINA ZETU
For babies & sensitive skin
Kwa watoto na ngozi nyeti
Warm, everyday use
Harufu ya vanilla kwa matumizi ya kila siku
Soft and gentle
Harufu ya waridi, laini na tulivu